NAMNA YA KUTENGENZA BOOTABLE USB BILA KUTUMIA RUFUS AU POWER ISO
MAHITAJI
WINDOWS PC
USB FLASH SIZE 8GB
WIONDOWS ISO IMAGE
WINRAR KWA WANAO TUMIA WINDOWS 7
HATUA NO. 1
download winrar software kisha install kwenye pc yako
note :
kwa wanao tumia windows 8 na windows 10 sio lazima kuidownload winrar sababu ina option ya kumount iso image
HATUA NO. 2
`nenda kwenye storage uliyo hifadhi iso image kisha select na right click halafu chagua extract to...iso image mfano windows 7 32 bit na uta chagua extract to windows 7 32bit na kwa wanao tumia windows 8 na 10 ukisha select image chagua mount iso image option kisha copy content zote zilizopo kwenye filder ya pembeni na fuata hatua ijayo
HATUA NO. 3
ukisha maliza kuextract au ku copy iso content chome usb flash yako na open computer or this pc kwa watumiaji wa windows 7 na baada ya hapo select usb storage kisha right click na chagua format option kisha weka option zifuatazo
-> file system weka ntfs
-> allocation unit size weka 4096 bytes
-> volume label weka sawa na windows unayo taka kuitengenezea bootable mfano wataka windows 8 waweza weka volume label ikawa windows 8
-> weka tick kwenye quick format option
baada ya hapo bofya start ili kuiformat hyo usb flash na baada ya kumaliza kuiformat rudi kwenye computer au this pc kisha open
HATUA NO. 4
baada ya ku open tu nenda kwenye folder uliyo extract au kuzicopy zile iso image contents kisha select all contents halafu nenda kwenye usb flah uliyo format kisha open halafu paste zile hapo zile contents za iso image ulizo zi copy
HATUA NO. 5
iki maliza tu kucopy safe remove usb flash lisha connect tena usb flash kwenye pc yako na utaona usb flash ina logo ya windows setup reboot pc yako na boot kwenye usb flash`
DONE mpaka hapo ume fanikiwa kutengeneza bootable usb flash bila kutumia rufis au power iso software
No comments