DOWNLOAD SERIES, MOVIES,KWA KUTUMIA SIMU NA COMPUTER
1.APPLICATION kuna Android application inayoitwa #DRAMANIA.Hii ni njia ya kwanza na ni rahisi kudownload series na movie za kikorea,kichina na hata kijapan.ni nzuri sana na nirahisi kutumia Apps hii imekusanya film nyingi sana za kila aina.uzuri zaidi hii imekusanya UPDATES ZA SERIES ZOTE ZINAZOENDELEA HIVI SASA.
Pia unaweza kudownload ama kuwatch online kama utapenda.zaidi zaidi ni kitu ambacho kwa mimi ninachoipendea inakata EPISODES katika PARTS hii inakuwezesha kudownload episode ndefu kwa muda mfupi kuliko ingekuwa in full length
2.WEBSITE.Bila shaka mnajua kuna
website nyingi sana za kudownload series Lakini nyingi zimekuwa hazina
video zenye mwonekano mzuri ama unakuta EPISODE mmoja ina mb nyingi au hata gb kubwa mara nyingine.Leo nakuletea website ambazo ni nzuri kutumia, website ya kwanza ni
www.dramacools.io hii ni websit
e nzuri sana kutumia inakupa series na movie zote katika ubora wa 360p,480p hadi 720p
Jinsi ya kudownload kupitia website hii kwanza nakushauri utumie UC BROWSER tena iwe latest version ukishaifungua na kuchagua episode unayotaka ikishafunguka hiyo episode chini ya hyo video kuna neno DOWNLOAD utaclick na kuendelea kudownload
ama unaweza PLAY hiyo video halafu click alama ya kudownload itakayojitokeza kwenye hiyo video
Kwa kutumia njia hizo mbili utafanikiwa
kudownload Series na movies za kikorea kichina na kijapani pamoja na
Thailand kwa uzuri tu!!!
MOVIES SERIES NA SEASONS ZA HOLLYWOOD.
Ili kuweza kudownload hollywood series movies na documentaries unaweza kufungua website zifuatazo
Pia ukitaka kudownload hollywood na bollywood movies tumia
nnaomba namna ya kudownload movie hiz
ReplyDeleteMi inanisumbua au ni kwa sababu ya cm yangu
ReplyDelete